lavyproducts Photos & Videos

1 day ago

Mdogo mdogo.­čÖĆ­čĆż We will soon have everything you need for Manicure & Pedicure. #LavyProducts

2.0k74
2 days ago

Lavy hand cream ­čśŹ Unahitaji kiasi kidogo tu na unashauriwa kupaka kila unapoona mikono yako imekauka na kila unaponawa mikono. Moja ya bidhaa muhimu kuwa nayo na inapatikana kwa elfu 5000 tu! #LavyNailProducts #LavyProducts

2022
4 days ago

Hii ni GEL Polish, tofauti kati ya gel na rangi ya kawaida ni kwamba lazima ikaushwe na mashine maalumu na inashauriwa kutumiwa na wataalamu wa kutengeneza kucha tu. #LavyMani #LavyNailPolish #LavyProducts

1515